Audio: Sikiliza kipindi cha 'EXPOSURE' kikiwa na Best Nasso

Audio: Sikiliza kipindi cha 'EXPOSURE' kikiwa na Best Nasso..Kipindi iki kinaitwa EXPOSURE  ni kipindi kinacho andaliwa na waandishi wa mishe mishe media  kipindi hiki ni cha kiburudani kitakacho kuwa kinachambua mazuri na mabaya yaliyopo kwenye sanaa na tutakuwa tukipiga stotry na wasanii mbali mbali na leo ndani ya studio yupo msanii Best Nasso usiache kusikiliza kupitia  website yetu hii ya www.africanmishe,com na zile website rafiki ..pia tuna toa furusa kwa radio za mikoani zinazo penda kurusha kipindi hiki wasiliana nasi kwa no +255714903603

No comments:

Powered by Blogger.