Video | Kama ulifikiria ipo siku Justin Bieber atajirudi na kuanza kuutumia mtandao wa Instagram basi hilo sahau tena.ebu msikilize apa

justin-bieber-nov-19-billboard-perform-1548


Muimbaji huyo amethibitisha hana mpango wa kurudi kuutumia mtandao
huo mbele ya mashabiki wake Jumanne hii wakati akifanya show nchini
Uingereza.


“Who thinks I should get my Instagram back?,” aliuliza Bieber. “Nah,
I don’t want to get my Instagram back… I’m sure… I think hell is
Instagram. I’m 90 percent sure. We get sent to hell, we get like locked
in the Instagram server.”


Mwezi Agosti mwaka huu Bieber aliifuta akaunti yake ya Instagram huku
ex wake Selena Gomez akichangia kwa kiasi kikubwa muimbaji huyo
kuchukuwa maamuzi hayo kutokana na kumshambulia kwa maneno ya kashfa
kupitia mtandao huo.

Powered by Blogger.