New Audio [ Pamy Queen _ Naratwawe] download mp3


Msani wa kike Pamy Queen  kutoka Burundi  ameachia ngoma yake nyingine mpya baada ya kutamba na kibao '' Signorita Remix'', aliachia nyingine hivi na inakuja kwajina la Naratwawe chini ya producer Daddy, akiwa chini ya udhamini wa Kampuni la Zenges Entertainment.

Nimewasogezeeni ngoma nzuri mpya ya kwake mrembo Pamy Queen hapa, kama na wewe ni msani unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi No +25775707305
Powered by Blogger.