Msani hasiye choka na ku Tema, Gaga Blue ameachia nyimbo yake mpya akishirikiana na mkali wa hip hop ao mzee wa mashahiri nchini, Marichal Slay kutoka katika kundi la  Wakali Power, katika kibao kilipewa jina la Shida chini ya mikono ya producer A. Tizo, chini ya udhamini wa Kampuni la Zenges Entertainment.

Wasanii wengi wa Burundi Flava wamesemwa katika track hii ebu jipe time kwa kusikiliza ujumbe wa nyimbo hii ukipekua hapa, kama na wewe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi No +25775707305

Are you a Musician and need Publicity? for faster music promotion call / whatsapp no; +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top