Mwanamuziki Papa Fololo kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Canada, ameachia ngoma yake mpya itwayo Pendo La Mashaka katika mtindo wa taarabu dance.

Tumewasogezeeni ngoma nzuri ya kwake Papa Fololo, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi No =25775707305

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top