WhatsApp yaanzisha video call kwenye simu za AndroidBaadhi ya watumiaji sasa wanaweza kupiga simu za video kutumia WhatsApp version ya Android.
annoying-phone-calls
Kwa sasa version hiyo inapatikana kwa watumiaji wachache wa simu za Android, huku wale wenye simu za iPhone wakiwekwa pembeni. Huduma bado ipo kwenye majaribio (beta version).
Uwezo huo wa WhatsApp kupiga simu za video unaifanya app hiyo ishindane na Facetime ya Apple.
Powered by Blogger.