Wachezaji 32 watimu ya taifa intamba Murugamba wameitwa kwa kuandaa michuano ya CECAFA


Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Intamba Murugamba Burundi, Mzee Alain Olivier Niyungeko ameweka wazi orodha ya wacheza 32 kwa mara ya kwanza watakao shirikiana naye kwa kuandaa michuano ya CECAFA.
Katika Orodha kuna wachezaji wapya wapya huku baada ya ukimya mda mrefu mshambuliaji bora wa mda msimu huu HAKIZIMANA Alex KITENGE ameitwa pia mchezaji KASHINDI Joseph (JEFF) naye pia ameitwa kwa mara yake ya kwanza baada ya kufanya vizuri msimu huu katika timu yake ya Inter Star.

Hii ndio orodha kamili ya wachezaji 32 wa timu ya taifa Intamba Murugamba
Magolikipa:
-NAHIMANA Jothan''Vital'o''
-MUTOMBO Fabien''LLB''
-NININAHAZWE Bienvenu''Msg Ngozi''
-NDIKURIYO Patient''Aigle Noir''
-RUGUMANDIYE Yvan''Musongati''

Mabeki:

-SULEIMAN Mustapfa''Aigle Noir''
-MOUSSA Omar"Atletic Olympic''
-NSHIMIRIMANA David''Vital'o''
-NDIZEYE Samuel''Atletic Olympic''
-NDORIYOBIJA Eric''LLB''

Ma Alfubeki
-NAHIMANA Steve''Aigle Noir''
-Guy Chancel''LLB''
-KASHINDI Joseph (Jeff) ''Inter star''
-HARERIMANA Rashid Léon''LLB''
-NYANDWI Innocent''Magara star''

Viungo:
-Cedric Danny KAGABO''Msg NGOZI''
-NIRWAZA Sudi''Musongati''
-NDIKUMANA Moussa''Atletico''
-NDAYISHIMIYE Youssouf''Aigle Noir''
-MBIRIZI Eric''Bujumbura City''
-UWIMANA Messo''LLB''
-Nsabumukama Enock''Msg Ngozi''
-IDDI Sadi Djouma''LLB''
-DUHAYINDAVYI Gael''Vital'o''
-ANDRE Tokoto''LLB''
-RUKUNDO Therence''Aigle Noir''
-JEAN ETENDO''Aigle Noir''

Washambuliaji:
-LOMEYA Marguare''Olympic star''
-BIMENYIMAN Caleb''Vital'o''
-NDARUSANZE J.Claude LAMBALAMBA''LLB''
-HAKIZIMANA Alex KITENGE''Atletic Olympic''
-BIGIRIMANA Hassan''Aigle Noir''

Tuwakumbushe kuwa mazoezi imepangwa jumatatu tarehe 7 Novemba saa moja na nusu asubuhi kwa mjibu wa kamati nzima ya timu ya taifa Burundi.
Powered by Blogger.