Kismart cha star wa muziki kutoka nchini Nigeria, Wizkd kinazidi kushine
baada ya mwimbaji wa R&B kutoka Marekani Alicia Keys kuthibitisha
kwenye interview yake na mtangazaji Ebro kwenye show ya Beats 1
inayofanywa na Apple Music kuwa anampenda Wizkid na anaukubali muziki
wake.
Alicia Keys amesema kuwa tayari wamerekodi wimbo na Wizkid na ilikua
kitu kikubwa sana kwake kuingia studio na Wizzy. Miezi kadhaa iliyopita
Alicia Keys aliwahi kupost video fupi kwenye Instagram yake akicheza
wimbo wa Ojoulegba kutoka kwa Wizkd.

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top