Timu ya Les Lierres inawachezaji watoto Madame asajili wachezaji mahiri tusije kudidimia, Christian Mbilizi

Naodha wa timu ya Les Lierres, Christian Mbilizi amefunguka kuhusu matokeo mabovu ya timu yake huku akipeleka malalamiko yake kwa kiongozi wa timu nakusema kuwa safu ya ulinzi na kati ni wacheza watoto hawajawa na uzoefu wa daraja la kwanza.

"katika mechi kuna kupigwa, kugawa na kufunga kama mchezaji lazima nikubaliane na matokeo ila inategemeana na gisi umejiandaa", amesema naodha wa Les Lierres ambayo imepanda daraja msimu huu huku akiongeza na kusema
"mechi 2 sasa tunapoteza pointi 5, hairidhishi na hatukuwa nategemea na tumekua nafikiri kwamba kati ya izi mechi mbili dhidi ya timu kubwa tungefaulu kufanya vizuri. Ligi ya Burundi nikama ligi ya Uingereza ukifungwa mechi moja unapoteza nafasi kubwa katika arakati ya kutafuta ubingwa".
Kuhusu stamina ya timu yake, naodha wa Les Lierres Christian Mbilizi amesema kuwa "kusalia daraja ya kwanza inawezekana kwasababu ndio lengo letu msimu hu na pia tuna wachezaji walio toka daraja ya pil ndio wengi hawaja kuwa na uzoefu mkubwa ila yote namuomba kiongozi wa timu ajaribu kusajili wachezaji mahiri katika dirisha dogo la usajili mwezi wa kwanza ili tuimarishe kikosi chetu".
Powered by Blogger.