Taarifa za Kupotea Nicko Mhapa na Mkewe Nuiya

Pchani ni Nicko Mhapa na mkewe Nuiya.
Taarifa za Kupotea kwa ndugu Nicko Mhapa pamoja na mke wake Nuiya wakiwa wanatokea Dar es salaam kwenda Njombe walipofika maeneo ya Makambako Nicko Mhapa na mkewake walitoweka pasipo julikana huku wakiwa wameterekeza Gari aina ya BMW yenye namba T230DGC rangi nyeusi..
Kwa yeyote mwenye taarifa juu ya watu hawa toa taarifa kupitia namba hizi 0756-713592 / 0756- 044894  /  0756-794406...
 Gari iliyo terekezwa..
Powered by Blogger.