Taarifa rasmi: Aliyekuwa Spika wa Bunge Samwel Sitta afariki dunia

Kiongozi huyo inadaiwa alifikwa na mauti saa 7:30 kwa muda wa nchini Ujerumani alikokuwa akitibiwa.
Rais Magufuli amtumia Spika wa Bunge salama za rambirambi kufuatia kifo cha Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta.