Siri nzito inafichuliwa kati ya Burundiano na Queen Video Mrembo Nick La Marty

Muigizaji wa filamu wa kundi la The Brothers kutoka Burundi, Burundiano amejikuta ameangukia kwenye mapenzi na Video Queen maarufu nchini Burundi  mwenye kila vigezo, Nick La Marty baada ya picha kadhaa kunaswa kwenye mtandao wa instagram.

Siri hiyo imeifadhiwa siku nyingi ila tetesi ya siri nzito zinaendelea kuwekwa wazi kuwa kuna siri nzito  kuwa muigizaji wa filamu Burundiano nyota wa Najuta Shamsa anatoka kimapenzi na mrembo Nick la Marty ambaye ameonekana kwenye video nyingi za wasanii wakubwa nchini Burundi.
Chanzo cha habari hii kinasema kuwa Burundiano na mrembo huyo walianza kutoka kimapenzi tangu mwaka jana pia imefikia mpaka mrembo huyo amejichora tattoo ya jina la Burundiano mgongoni kwake.

Inasemekana mrembo Nick la Marty anazidi kupokea michambo ya nguvu na vitisho kutoka kwa mabinti tofauti wanao dai kuwa mrembo huyo amewaibia.
Wakati wengine wakirusha madongo kwa mrembo Nick la Marty wengine wanampongeza Burundiano kwa kuopoa kitu kizuri yaani kwa kumpata Nick la Marty.

Powered by Blogger.