Kipindi iki kinaitwa EXPOSURE  ni kipindi kinacho andaliwa na waandishi wa mishe mishe media  kipindi hiki ni cha kiburudani kitakacho kuwa kinachambua mazuri na mabaya yaliyopo kwenye sanaa na tutakuwa tukipiga stotry na wasanii mbali mbali usiache kusikiliza kupitia  website yetu hii ya www.africanmishe,com na zile website rafiki kama www.bekaboy.com na www.johventuretz.com  pia tuna toa furusa kwa radio za mikoani zinazo penda kurusha kipindi hiki wasiliana nasi kwa no +255714903603

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top