Alisema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha D’WIKEND CHATSHOW kinachorushwa kupitia Clouds TV.
“Sijawahi kuwa na mahusino na mtu yeyote,” alisema.
“Siri ya kujitunza hadi leo hii kuwa bado nipo hivi ni kutokana na jinsi ambavyo nimelelewa maana mara nyingi nyumbani huwa tunaambiwa kuwa usifanye hivi na vile hadi uolewe, na mimi kwahiyo nimekuwa hivyo nikawa naogopa,” aliongeza.
Hata hivyo Chemical amesema licha ya kuwa bikira, hajawahi kujihusisha na mapenzi na wasichana wenzake (ulesbian).

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top