responsive ads

New Video|Sheebah - Goodbye|Download Mp4

Msani wakike kutoka Uganda Sheebah Karungi ameachia video ya wimbo wake mpya uiitwao ''GoodBye''.
Sheebah anazidi kufanya vizuri baada tu yakujijengea headlines nyingi kupitia kibao chake ''Nkwatako''.
Video imeongozwa na director Nour Issa.

                Itazame hapa

middle 300x250
Powered by Blogger.