Baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo wake ''Urukundo'',Akes Don ameachia nyingine tena akirikiana na Slas Damara.Wimbo unaitwa ''Mugisagara''.
Video ipo chini ya Director O Farcy ndani ya Ujumbe Pictures.


Itazame hapa                                              

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top