New Video |MwanaFA ft Vanessa Mdee - Dume Suruali|Download Mp4

MwanaFA na Vanessa wanatualika kuitazama ‘Dume suruali’.

Ni zamu nyingine ya Mwana FA, uhodari wake wa kuandika umefanya kila anaeifatilia Bongofleva avutiwe kujua ameandika nini kwenye kila anapotoa ngoma mpya, leo katuletea video mpya ya ‘dume suruali‘.

                                                           


Powered by Blogger.