Baada tu ya kuachana na Label yake ya MMMG na kujiunga na Label ya Don Jazz ''Mavin Record'',Iyanya tayari ameachia wimbo wake wa kwanza Up To Something chini ya label yake hiyo mpya huku akimshirikisha boss wa label hiyo  Don Jazzy na Dr Sid.
                                                          

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top