TANGAZO
Wacheza komedi maharufu nchini Burundi Kabizi le Farceur na Gitoro le Comedien ivi punde wataachia video ya komedi ya wimbo '' MPIGIRA'' wa msani King Moses ambae kwasasa anaishi nchini Umarekani.
Maasta hao wa komedi wamejijengea sifa kibao baada tu yakuzirudilia nyimbo nyingi za wasani maaharufu nchini humo pakiwemo wimbo''Shikilia'' wa mwanadada Natacha na wimbo ''Ntabundi Buhinga'' wa Kundi la walemavu wa macho ''Peace & Love''.
 Waigizaji hao wa komedi wanatolea wito wengine wasani kujitokeza kwa wingi ili washirikiane kwa kuzitangaza kazi zao kupitia komedi, ivo kazi zao zitazidi kujulikana zaidi humo na afrika mashariki.kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top