Fabizzo Millz akishirikiana na TNC wameachia ngoma yao mpya iitwayo ''Don't Say Sorry'' .
Millz kwasasa amekua tishio kwenye miondoko ya R&B nchini Burundi baada tu ya kufanya vizuri na kibao chake ''Kwangu bado''.
Don't Say Sorry ipo chini ya Producer Zacky Classic ndani ya Mo Record.
Isikiliza na Upakue hapa:Don't Say Sorry by TNC ft Millz

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top