Burundifleva inajivunia pia kuwa na Loyrah mtoto wa msani Lolilo na Channy Queen, wengi wamemsikia kwamara ya kwanza kwenye hit single ‘Incomplete’ ila leo katuletea hii mpya ya ‘OK.
Imetayarishwa na Soprano wa African Touch Muzik.

 Isikilize na Upakue hapa: Ok by Loyrah

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top