Baada yakuzijenga headlines nyingi kupitia ngoma yake ''Usijigambe'' yenye miondoko ya mduara ,R.Vicent akishirikiana na Latino wameachia ngoma yao mpya kabisa iitwayo '' NIACHIE''.
Ngoma hii ipo chini ya Producer Shadow Black ndani ya Dragon Record.
Isikilize na Upakue hapa : Niachie by Latino & R.Vicent

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top