Producer GN LFLS ameachia ngoma yake mpya '' Super Star Mentality'' yenye miondoko ya Dancehall.Ngoma hii ametengeneza mwenyewe ndani za studio za G Made 10 House.

Sikiliza na upakue hapa : Super Star Mentality by GN LFLS

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top