responsive ads

New Audio|Eddy Kamoso - Israel be Blessed|Download Mp3

Msani wa nyimbo za injili Eddy Kamoso ameachia wimbo wake mpya uitwao'' Israel be Blessed''.
Kwenye wimbo huu Eddy Kamoso anaewaombea mbele ya Mungu watu wa Israel ambao kwasasa wanapitia wakati mgumu ; Mungu awabariki na atazidi kuwaombea kila saa ,kila dakika kama jinsi Bibilia inavyosema.
Isikilize na upakue hapa: Israel be Blessed by Eddy Kamoso
middle 300x250
Powered by Blogger.