New Audio|Amore ft Big Fizzo - Die For You|Download Mp3

Amore Azina ameachia wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Big Fizzo kutoka Burundi ,wimbo unaitwa ''Die For You''.
Big Fizzo kwasasa yupo anazichapa kazi zake za muziki nchini USA na Amore kwasasa yupo nchini England.

Isikilize na upakue hapa: Die For You by Amore Azina ft Big Fizzo
Powered by Blogger.