New Audio & Video|Kiss Daniel ft Sugarboy - Upon Me|watch & Download

Baada yakufanya ziara za kutangaza Album yake mpya ''New Era'' barani Asia ,Kiss Daniel ameachia ngoma yake mpya iitwayo ''Upon Me'' akishirikiana na Sugarboy.
Kiss Daniel amezijenga headlines nyingi baada tu yakujinyakulia tuzo ya ''Msani wa mwaka'' kwenye Nollywood Europe Golden Awards nchini Ujerumani.

Na Album yake hii ya"New Era" imejinyakulia nafasi ya 8 kwenye Billboard World Albamu Chati nchini Umarekani.
Sikiliza na upakue hapa :Upon Me by Kiss Daniel ft Sugarboy(Audio)

Upon Me (Video)                                                                                                                  

                                                           

Powered by Blogger.