New Audio [ Trezzo Shujaa _ Ubuntu] download mp3

Mwana hip hop wa nyimbo za njili Kagenda Tresor almaarufu  Trezzo Shujaa ameachia nyimbo yake mpya itwayo Ubuntu chini ya mikono ya producer mahiri Lyryevry pande za Mapenzi Art Record.

Isikilize hapa nyimbo nzuri kwa wale wapenzi wa nyimbo za njili, endapo nawe ni msani unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi +257 75707305
Powered by Blogger.