New Audio [ Pro Say-G Ft Bienve Fizzo_ Nikutowe ] Download.mp3

Mwana hip hop kutoka Burundi, Pro Say G akishirikiana na mkali wa Signorita, Bienve Fizzo, wameachia wimbo wao mpya uitwao Nikutowe, chini ya mikono ya Producer Soprano pande za African Touch Studio.

Isikilize kwa mara yako ya kwanza nyimbo nzuri ya wakali hawa walili, ... Endapo nawe ni msanii na unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No : +257 75707305
Powered by Blogger.