New Audio [ Papa Fololo _ Niko Na Mwingine ] download mp3


Tumewasogezea nyimbo nzuri ya mwanamuziki Papa Fololo kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Canada, nyimbo imepewa jina la Niko Na Mwingine.

Isikilize hapa nyimbo nzuri kutoka kwa mwanamuziki Papa Fololo, endapo nawe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi No +257 75 707305.
Powered by Blogger.