Msanii nyota kutoka Burundi anaezidi wakilisha vizuri Burundi nchini Canada kwa tamasha sehemu mbali mbali kama Saint Hubert, jijini Motreal pia Ottawa , Papa Fololo ameachia nyimbo yake mpya itwayo Mimi Ni Wako.

Isikilize hapa nyimbo nzuri inayojaa mashahiri mazuri ya mapenzi,  endapo nawe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No +257 75707305

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top