Mwanamuziki Papa Fololo kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Canada, ameachia nyimbo yake mpya itwao Mapenzi ya Uhakika.... tumewasogezeeni nyimbo hii nzurzi ya kwake Papa Fololo uwe wa kwanza kuisikiliza hapa, endapo nawe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye no +257 75707305

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top