Hii hapa kazi nyingine ya msani Jeune Poli akishirikiana na Short Nr wa kundi la Amahunja Music, wakali hawo wameachia nyimbo yawo mpya itwayo Mpinkwano Zanje chini ya mikono ya Producer Ami Baso pande za Swagger Record.

Isikilize hapa nyimbo nzuri kutoka kwa Jeune Poli na Short Nr. Endapo nawe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi No +257 75707305

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top