New Audio [ Gueps Ft Big Fizzo _ Guelphy] download mp3

  Msanii Gueps raia wa DR Congo ameshirikiana na nyota wa Burundi Flava Mugani Desire almaarufu Big Fizzo Burundiano katika nyimbo itwayo Guelphy katika mtindo wa rumba.

Isikilize hapa kwa mara ya kwanza nyimbo nzuri kutoka kwa wakali hawa wawili Gueps wa DRC na Big Fizzo wa Burundi, endapo nawe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi No +257 75707305
Powered by Blogger.