Msani kutoka kwenye kundi lizima la B-Star ''For Sick'' ameamua kuachana na kundi hilo na kujitegemea kwenye kazi zake .
For Sick ameachia wimbo wake wakwanza baada tu yakuachana na kundi la B-Star,wimbo unakuja kwajina la ''Isango''(Ahadi).Wimbo huu upo chini ya Producer Dj Mapound ndani ya Ivo Ivo Music.
Isikilize na Upakue hapa: Isango by For Sick

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top