Mwana hip hop mahiri nchini Burundi, Faby Love ameachia nyimbo yake mpya akishirikiana na mkali wa R&B, Emery Sun huku nyimbo ikipewa jina la Magonde.

Isikilize hapa kwa mara ya kwanza nyimbo nzuri ya wakali wawili kutoka Burundi, mwana hip hop Faby Love na Emery Sun

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top