Mwana Hip hop Davidson kutoka Burundi mwenye makazi yake Afrika Kusini ameachia nyimbo yake mpya akishirikiana na Fayth, nyimbo imepewa jina la Don't Leave Him.

Ebu sikiliza nyimbo nzuri ya kwake Davidson na endapo utapendelea kazi zako zipatine apa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305.

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top