Staa wa muziki wa kizazi kipya nchini Burundi Farious a.k.a Big Fizzo ameachia wimbo wake mpya uitwao '' 69 Code''.Ngoma hii imetengenezewa chini USA mjini Maine na producer Dj Daddy.
Isikilize na Upakue hapa :69 Code by Big Fizzo(Farious)

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top