New Audio [ Amahunja Music ( Musebo & Bar-C) _ Mpa Ibikorwa] Download.mp3


Kundi nzima la Amahunja Music kutoka Burundi mkoani Gitega imeachia wimbo wao mpya uitwao Mpa Ibikorwa ikikamilishwa na wasanii wa wili wa kundi hiyo, Musebo na Bar-C. Kazi hii hipo chini ya mikono ya Producer MasterLand katika Studio Master Music.

Endapo nawe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305.
Powered by Blogger.