Kundi nzima la Amahunja Music kutoka mkoani Gitega nchini Burundi, imeachia wimbo wao mpya uitwao Ndi Mubandi chini ya mikono ya Producer mahiri mkoani hapo ajulikanaye kwajina la Ami Baso katika Studio Swagger Record.

Tuwakumbushe kuwa nyimbo hii imekamilishwa na mwanadada Mrembo Coco Queen na Short Nr, kama nawe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top