New Audio [ Amahunja Music( Bar-c & Short Nr) _ Koreta] Download.mp3

Kundi la  Amahunja Music kutoka mkoani Gitega nchini Burundi, imeachia wimbo wao mpya itwayo Koreta iliyoimbwa na Barutwanayo Carito almaarufu Bar-C pamoja na Mateso Jean-Berchimas almaarufu Short Nr. chini ya mikono ya Producer Ami Baso katika Studio Swagger Record.

Tumewasogezeni nyimbo nzuri ya Kundi nzima Amahunja Music, endapo utapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +25775707305.
Powered by Blogger.