14624312_197911060660689_5461731643410612224_n
Akiongea kuluti mc mwandishi wa tovuti hii ya www.africanmishe.com, muongozaji huyo amesema kufanana kwa video nyingi za muziki wa Bongo Fleva inatokana na mawazo ya wasanii wenyewe.
“Ukiona kuna kitu kimerudiwa katika video ujue kuna makubaliano kati ya muongozaji na msanii kwakuwa mara nyingi msanii anapoandika wimbo wake anakuwa na wazo la aina ya video ambayo anaitaka hivyo wasanii ni kama wateja wetu na tunafanya anachokitaka mteja wetu,” amesema.
Mpaka sasa Hanscana ameshatayarisha video zaidi ya 40 ambazo ni hit zinazofanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya runinga.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top