responsive ads

Mtoto wa Diamond Platnumz Princess Tiffah afikisha followers milioni 1 Instagram

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa. Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa couple maarufu zaidi pia Afrika – Diamond na Zari.
14592076_1249625691767348_5538953587729629184_n
Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia: Who wouldn’t be excited with a new Bentley whip THANK YOU MY 1 MILLION FOLLOWERS.
Zari na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa pili mwezi ujao.

Jiunge na Bongo5.com sasa

middle 300x250
Powered by Blogger.