Msanii Timbulo ataja tofauti ya muziki wake na wanaofanya wasanii wengine

Hitmaker wa Ngomani, Timbulo ametaja sababu ya muziki wake kuwa tofauti na baadhi ya wasanii wengine wa Bongo Fleva.
15056734_338773736487424_6845416032820002816_n
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV, “Mimi nalitafuta soko la nyumbani lakini wenzangu wanatafuta soko la Marekani ndio maana wanafanya muziki kama Usher Raymond.”
Timbulo ameongeza kuwa wasanii wengi hawataki kusema kweli wanapokuwa kimya ila kwa yeye alikwama lakini kwa sasa amejipanga na amerudi upya.
Powered by Blogger.