TANGAZO
Staa wa Burundi Flava, Gaaga Blue anatarajia kupiga bonge la Show ya funga na fungua mwaka 2017 kwenye ukumbi wa Black And White jijini Bujumbura.

Staa huyo kutoka Burundi anayezidi kujijengea sifa nyingi kupitia nyimbo zake kama ''Mambo", ''Utaipenda'' aliyoshirikiana na mwanamama mrembo Natacha '' La naamba'', Gaaga Blue anatarajia kugonga nyoyo ya mashabiki zake kwenye bonge la Show itwayo Black And White Concert (Funga na Fungua Mwaka) tarehe 25 Decemba kwenye sikuku ya Noeli  na Mwaka mpya, 1, Januari 2017. 

Gaaga Blue awakaribisha mashabiki zake wote waje siku ya X-mass kuwa hatawaangusha, ameyaongea hayo leo kwenye mkutano maalum na muandishi wa Africanmishe akiwa mbele ya wapenzi wa muziki kwajili ya kuzungumzia show hiyo kubwa kuliko inayojulikana kama Black and White Concert.

Tuwakumbushe kuwa msanii Gaaga Blue hatokuwa pekee yake, atashirikiana na wasani wengine wakubwa kama, mwana mama mrembo Natacha, Bidondo, mwana dada mrembo Ashley Diva, mkali wa voice Chany Queen, Lolilo (Simba), Emery Sun, G-Bo, Sal G., Miss Erica bila kusahau mkali wa ma Dj nchini, Dj Show.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top