Msanii Davidson asema kuwa ategemei video sana, nyimbo zake zenyewe zinafanya vizuri


Msanii Gashano David almaarufu Davidson kutoka Burundi mwenye makazi yake Afrika Kusini, ameachia nyimbo zake mbili moja baada ya nyingine mwezi moja.
Davidson amefunguka na kile ambacho wengi wasema kuwa anazidi kudondosha audio kuliko video huku akisema kuwa muziki wake hautegemei sana video ili kufanya vizuri, uwezo wake wa kuandiko ndio unamsaidia kufanya vizuri kwenye game ya muziki.
Davidson ameendelea na kusema kuwa video ya wimbo wake "Good Time" aliomshirikisha Young Voice, ataenda kuishoot video nje ya nchi.

Tuwakumbushe kuwa Davidson kwasasa ana management yake mwenyewe itwayo Agashano Visual na pia mwakani atasaini mkataba na mchezaji wa soka nahodha wa zamani wa timu ya taifa Intamba Murugamba (Burundi) Ntibazonkiza Saidi
Powered by Blogger.