Mourinho achanganyikiwa huenda akawatema wachezaji hawa januari

Winga Memphis Depay hatakuwa na ujanja wa kuendelea kubaki Old Trafford pale Kocha Jose Mourinho atakapoanza kuwatema anaoamini hawana faida katika kikosi chake Januari, mwakani.

Depay aria wa Uholanzi aliyetua Man United kwa dau la pauni milioni 25, hana ujanja na hawezi kusalimika hats kidogo.

Wengine ambao wameingia kwenye msitari huo mwekundu na wataachwa katika kikosi cha Manchester United ni Morgan Schneiderlin, Marcos Rojo na Matteo Darmian.
Powered by Blogger.