marlawnabesta
Muimbaji huyo ambaye yupo kimya kwenye muziki wa muda mrefu amesema alijifungua Novemba 10 mwaka huu.
“Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunijalia kupata mtoto wangu wa tatu salama 10th Nov wiki iliyopita. #NiBabygal #BabyBrence #BabyAngelina Angelina ni jina la bibi upande wa baba,” aliandika Besta kupitia instagram yake
Mapema mwaka jana muimbaji huyo awaahidi mashabiki wa muziki wake kuachia kuachia albamu lakini hali imekuwa sivyo kama alivyoahidi.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top