Mkali wa wimbo Jike Shupa, Nuh Mziwanda ameingia kwenye list ya mastaa wa bongofleva waliofunga ndoa mwaka 2016 baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Nawal.
s13
Muimbaji huyo ambaye zamani alikuwa anatoka kimapenzi na Shilole amefunga ndoa kimya kimya huku akijiandaa kwa ajili ya kufanya sherehe kubwa.
Mke wa Nuh, Nawal akiwa amepodoka
Mastaa wengine waliofunga ndoa hivi karibuni ni pamoja na Nyandu Tozzy, Tunda Man, Mabeste pamoja na wengine wengi.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top