responsive ads

MJENGONI CLUB UZINDUZI ULIKUWA HIVI: TAZAMA PICHA MBALIMBALI HAPA PALIKUWA HAPATOSHI

  Hapa wanahabari hawakucheza mbali,Mmiliki wa blog ya libenee la kaskazini Woinde Shizza  wa kwanza kulia  nyuma yake ni mmiliki  wa blog ya Jamii blog Pamela mollel  ,wakanza kushoto ni dada Fatuma  wa Stax Tv pamoja na Mmiliki wa  Veronica Ignatus Blog wote tulibahatika kuhuthuria na kushuhudia uzinduzi rasmi wa bendi ya mjengoni  pamoja na klabu ya mjengoni
  Mmiliki wa jamii blog Pamela mollel akiwa anafafanua jambo kuhusiana na kiota iki kipya kilichozinduliwa rasmi jijini Arusha ambapo alitumia muda huo kuwa sihi wakazi wa mkoa wa Arusha pamoja na wale wageni ambao wanauthuria katika  mkoa huu kutoacha kufika mjengoni klabu kwa ajili ya kujipatia nyama choma safi na freshi pamoja na muziki muzuri kutoka katiak bendi ya mjengoni club.Na. Vero Ignatus Arusha
 

Club ya ijulikanayo kwa jina la Mjengoni Club imezinduliwa hivi karibuni jijini Arusha,wakati huo huo ukafanyika uzinduziwa MjengoniClassic Bandi  pamoja na uzinduzi wa vyombo vipya vya bendi hiyo.


Akiongea na waandishi wa habari katika usiku wa uzinduzi rasmi wa Club hiyo hiyo mkurugenzi mtendaji wa John Mdenye amesema kuwa wakazi wa Arusha muda mrefu wamekuwa na kiu ya kuwa na bendi , ambayo wanaweza kukaa na kujiburudisha wakati wa wikiendi,waeamua kufanya hiyo kwaajili ya wakazi wa Arusha pamoja na mikoa jirani.
"unajua tangia kufungwa kwa ukumbi wa sabasaba haijawahi kubendi nzuri amabayo ina vyombo vizuri na wapigaji wazuri lakini sisi hapa mjengoni Club mtaiona hii mjengoni classic band kwakweli wakazi wa Arusha wataifurahia sana"alisema John.

Mkurugenzi huyo mtendaji wa mjengoni Klabu pamoja na mjengoni Bendi John mdeme  mesema kuwa ameamua kufungua kiota ichikipya ili wakazi wa jiji la arusha wawez e kupata sehemu ya kistaarabu ya kupata chakula ,nyama choma nzuri pamoja na mziki mzuri wa mubashara  bandi Kwa upande wakekiongozi wa Mjengoni Classic Band Robert Mukongya (Digital) amesema kuwa wamejipanga kufanya mkoa wa Arusha kuwa na bendi kubwa inayotoa burudani ya nguvu kama zilivyo bandi zingine za jiji la Dar es salaam akatolea mfano FM Academia na malaika bendi.


  Digital amesema kuwa wakazi wa mikoani wamekuwa wakitegemea bendi kutoka jijini Dar-es-salaam lakini kwa sasa  hivi wamesogezewa burudani karibu kabisa na itakuwa kila siku za wikiendi ambapo bendi hiyo inawanamziki wengi ambao wanauwezo wa hali ya juu  pamoja na uzoefu wakutosha amewataka wapenzi wa mziki wa dansi wataipenda bendi hiyo na kuikubali"Hadi sasa bendi inazo nyimbo zake na wanajipanga kwa ajili ya kurekodi ili wapenzi ,wadau na wananchi waweze kupata mziki  na kuhusikia katika maredio na hata wanapokuwa majumbani kwakusema bendi hiyo ya mjengoni itakuwa inatoa burudani kila wekendi  hivyo wakazi wa jiji la Arusha pamoja na mikoa ya jirani na wageni mbalimbali watakaotembelea jijini hapa."alisema Robert.

middle 300x250
Powered by Blogger.