Matokeo na ratiba kamili ya Ligi la Cadet Buyenzi, Burundi


Ligi ya vijana wasio zidi umri wa miaka 15 tarafani Buyenzi (Cadet), inaendelea kwa kishindo
ni ligi nzuri ya kupendeza kuona watoto wadogo wakitimuana kandanda huku wakionesha vipaji  vya hali ya juu.

Wiki iliyo pita timu kadha zimechuana huku timu ya Sangara FC  imeridhika kucharazwa vikali na Alteco FC bao mbili bila (0-2) na Sobac Star imepata ushindi kwa tabu wa bao moja bila dhidi ya Olympic

Matokeo  ya wiki hii:

Jumamosi, 12/11/2016:
- Sangara 0-2 Alteco
-Islamic 1-1 Green Tea
 -Olympic 0-1 Sobac Star

Msimamo wa mda:

Kundi A
1.Alteco  pointi 18
2.Chriss- Flamant pointi 18
3. 17 Sport pointi 17
4. Peace and Love pointi 15

Kundi B
1.Ntahangwa Sport  pointi 25
2.Green Tea  pointi 21
3.Econet pointi 16
4.Mukukwe pointi 15
 
Kundi C
1.Rema pointi 19
2.Sobac Star  pointi 18
3.Fina Racing pointi 13
4.Olympic pointi 13
 
Kundi D
1.St Augustin pointi 20
2. PVP pointi 17
3.AS Tanganyika pointi 15
4.The Young Brothers pointi 12


Ratiba ya wiki hii
Jumamosi, 19/11/2016
9h30’ – Mukukwe vs Olympic
10h45’ – Fina- Racing vs C.F pepinière
12h00’ – Peace and love vs Buyenzi Star
13h15’ – Amebu Star vs Green Tea
14h30’ – Etoil de Buyenzi vs PVP
15h45’ – The Young Brother vs La Victoire


Juma pili, 20/11/2016
12h30’ – Rafina vs Bombardier
13h45’ – T.J de Nickson vs 5 sur 5
15h00’ – Mninga vs Hawa F.C
Powered by Blogger.